Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Mary Makondo akitoa maelezo ya awali ya maendeleo ya ujenzi wa jengo la Ofisi za Wakili Mkuu wa Serikali kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria tarehe 27 Machi, 2024 Mji wa Serikali Mtumba Dodoma.
Kaimu Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Bw. Mark Mulwambo akitoa maelezo kwenye Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria tarehe 27 Machi, 2024 Mji wa Serikali Mtumba Dodoma.
Mkandarasi wa mradi Eng. Baraka Mosha akitoa maelezo ya ujenzi wa jengo la Ofisi za Wakili Mkuu wa Serikali kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria tarehe 27 Machi, 2024 Mji wa Serikali Mtumba Dodoma.
Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Mary Makondo, viongozi kutoka Wizarani na Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kwenye picha ya pamoja na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria mbele ya jengo la Wakili Mkuu wa Serikali linalojengwa Mji wa Serikali Mtumba Dodoma, tarehe 27 Machi, 2024.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akiwasilisha Makadirio ya Bajeti ya Wizara kwa mwaka wa fedha 2024/25 kwenye Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria tarehe 25 Machi, 2024 kwenye Ofisi za Bunge Dodoma.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria Mhe. Florent Kyombo akichangia hoja kwenye kikao cha Kamati hiyo na Wizara ya Katiba na Sheria, tarehe 25 Machi, 2024 kwenye Ofisi za Bunge Dodoma.
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria Mhe. Edward Olelekaita Kisau akichangia hoja kwenye kikao cha Kamati hiyo na Wizara ya Katiba na Sheria tarehe 25 Machi, 2024 kwenye Ofisi za Bunge Dodoma.
Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Mary Makondo akitoa salaam kwenye Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, baada ya Wizara yake kuwasilisha Makadirio ya Bajeti ya mwaka wa fedha 2024/25 tarehe 25 Machi, 2024 kwenye Ofisi za Bunge Dodoma.
Sehemu ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria wakifuatilia wakati Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akiwasilisha Makadirio ya Bajeti ya Wizara kwa mwaka wa fedha 2024/25 kwenye Kamati hiyo, tarehe 25 Machi, 2024 Ofisi za Bunge Dodoma.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akihutubia wakati wa hafla ya kufunga Mkutano Mkuu wa Mawakili wa Serikali, tarehe 22 Machi, 2024 Jijini Dodoma.