Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini (katikati), kulia kwake ni Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi na kushoto kwake ni Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mwanaidi Ali Hamis kwenye picha ya pamoja na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma wanaotokea Wilaya ya Butiama ambao walikuwa wageni wa Mhe. Sagini. Aprili 24, 2024 Bungeni Dodoma.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akiongea na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini Bw. Shigeki Komatsubara Aprili 23, 2024 Ofisi za Wizara Mtumba.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akiongoza kikao na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini Bw. Shigeki Komatsubara Aprili 23, 2024 Ofisi za Wizara Mtumba.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (katikati), kulia kwake ni Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini, kushoto kwake ni Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini Bw. Shigeki Komatsubara, Naibu Katibu Mkuu Dkt. Khatibu Kazungu (kulia) kwenye picha ya pamoja na viongozi wengine walioshiriki kikao hicho, Aprili 23, 2024 Ofisi za Wizara Mtumba.
Kabidhi Wasii Mkuu na Afisa Mtendaji Mkuu wa RITA Ndg. Frank Kanyusi Frank akitoa neno la utangulizi kwa Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini kabla ya kumkaribisha Kaimu Meneja wa Mipango Ufuatiliaji na Tathmini Bw. Ernest Mbuna kuwasilisha Taarifa ya majukumu ya RITA, Aprili 23, 2024 ofisi za Wizara Mtumba.
Kaimu Meneja wa Mipango Ufuatiliaji na Tathmini Bw. Ernest Mbuna kutoka RITA akiwasilisha Taarifa ya majukumu ya RITA kwa Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini, Aprili 23, 2024 ofisi za Wizara Mtumba.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akiongoza kikao ambapo yeye na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini walikutana na Menejimenti ya RITA, Aprili 23, 2024 ofisi za Wizara Mtumba.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana wakati anaongea na Balozi wa Singapore nchini Mhe. Douglas Foo, Aprili 22, 2024 Bungeni Dodoma.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akiwa na Mgeni wake Balozi wa Singapore nchini Mhe. Douglas Foo baada ya kufanya mazungumzo, Aprili 22, 2024 Bungeni Dodoma.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akimkabidhi zawadi Mgeni wake Balozi wa Singapore nchini Mhe. Douglas Foo baada ya kufanya mazungumzo, Aprili 22, 2024 Bungeni Dodoma.