Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini akijibu maswali Bungeni Dodoma tarehe 16 Aprili, 2024.
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mustafa Rajabu Shabani akitoa salaam na shukrani wakati wa iftar, tarehe 08 Aprili, 2024.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana, Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini, Naibu Katibu Mkuu Dkt. Khatibu Kazungu, Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mustafa Rajabu Shabani kwenye picha ya pamoja na Masheikh wengine baada ya iftar, tarehe 08 Aprili, 2024.
Naibu Waziri mpya wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini akihutubia Watumishi wa Wizara hiyo alipopokelewa kwa mara ya kwanza Wizarani hapo, tarehe 08 Aprili, 2024 Ofisi za Wizara Mtumba Dodoma.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akimkaribisha Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini kuongea na Watumishi wa Wizara, tarehe 08 Aprili, 2024.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Dkt. Khatibu Kazungu akisoma tarifa fupi ya utendaji wa Wizara kwa Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini, tarehe 08 Aprili, 2024.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akimkabidhi Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini ua alipopokelewa Wizarani hapo, tarehe 08 Aprili, 2024.
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini akisalimiana na Watumishi wa Wizara baada ya kupokelewa Wizarani hapo, tarehe 08 Aprili, 2024.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akimkabidhi Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini vitendea kazi baada ya kupokelewa, tarehe 08 Aprili, 2024.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana pamoja na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini wakati wa iftar, tarehe 08 Aprili, 2024.