Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini akihutubia wakati wa ufunguzi wa mkutano wa pili wa Baraza la Pili la Wafanyakazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Aprili 19, 2024 Mkoani Morogoro.
Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Boniphace Luhende na Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi akisoma hotuba wakati wa ufunguzi wa mkutano wa pili wa Baraza la pili la Wafanyakazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Aprili 19, 2024 Mkoani Morogoro.
Kaimu Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Ndg. Mark Mulwambo akizungumza wakati wa ufunguzi wa Baraza la Wafanyakazi, Aprili 19, 2024 Mkoani Morogoro.
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini (katikati) akiongoza zoezi la kuimba wimbo wa mshikamano ikiwa ni ishara rasmi ya kuanza kwa mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali. Pamoja naye ni Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Boniphace Luhende (wa kwanza kulia kwake), Kaimu Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Ndg. Mark Mulwambo (wa pili kulia) pamoja na viongozi wengine wa Baraza hilo. Aprili 19, 2024 Mkoani Morogoro.
Baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakifuatilia hotuba ya Mgeni Rasmi ambaye ni Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini katika ufunguzi wa mkutano wa pili wa Baraza la pili la Wafanyakazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Aprili 19, 2024 Mkoani Morogoro.
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini (kushoto) akipokea zawadi kutoka kwa Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Boniphace Luhende (kulia) mara baada ya kukamilika kwa kufungua mkutano wa pili wa Baraza la pili la Wafanyakazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Aprili 19, 2024 Mkoani Morogoro.
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali mara baada ya kufungua mkutano wa pili wa Baraza la pili la Wafanyakazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Aprili 19, 2024 Mkoani Morogoro.
Mkurugenzi wa Utajiri na Maliasilia Wizara ya Katiba na Sheria DCP Neema Mwanga akimkabidhi zawadi Bw. Alex Togo wakati wa hafla ya kuwapongeza watumishi waliopata watoto kati ya Januari hadi Machi, 2024. Tarehe 17 Aprili, 2024 Mtumba.
Mkurugenzi wa Sera na Mipango Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Mbaraka Stambuli akimpongeza Bw. Judica Nkya wakati wa hafla ya kuwapongeza watumishi waliopata watoto kati ya Januari hadi Machi, 2024. Tarehe 17 Aprili, 2024 Mtumba.
Mkurugenzi wa Sera na Mipango Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Mbaraka Stambuli akimkabidhi zawadi Bw. Eric Sezary wakati wa hafla ya kuwapongeza watumishi waliopata watoto kati ya Januari hadi Machi, 2024. Tarehe 17 Aprili, 2024 Mtumba.