Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Katiba na Sheria

Sera ya Faragha

Wizara inachukulia faragha ya wateja na wanaotembelea tovuti yetu na watumiaji wa mifumo yetu kwa umuhimu mkubwa. Sera hii inaeleza hatua tunazochukua kuhifadhi na kulinda faragha yako unapotembelea au kuwasiliana na tovuti yetu au wafanyakazi. Wizara inachukulia faragha ya wateja na wanaotembelea tovuti yetu na watumiaji wa mifumo yetu kwa umuhimu mkubwa. Sera hii inaeleza hatua tunazochukua kuhifadhi na kulinda faragha yako unapotembelea au kuwasiliana na tovuti yetu au wafanyakazi.