Dira, Dhima na Kauli Mbiu
Dira, Dhima na Kauli Mbiu
Dira
Kuwa na taifa linalozingatia haki, jumuishi na lenye ustahimilivu ambapo usawa, uadilifu na utawala wa sheria vinatawala kwa wote.
Dhima
Kuweka mifumo madhubuti ya Kikatiba na kisheria, kuendeleza upatikanaji wa haki, kulinda haki za binadamu, na kuhakikisha usimamizi endelevu wa rasilimali asilia kwa maendeleo ya kijamii na kiuchumi ya Tanzania.
Kauli Mbiu
Haki, usawa na Utawala wa Sheria kwa Wote