Menejimenti
Menejimenti
Na. | JINA | CHEO |
1 | Mhe. Prof. Palamagamba J. A. M. Kabudi | Waziri |
2 | Mhe. Jumanne Abdallah Sagini | Naibu Waziri |
3 | Bw. Eliakim Chacha Maswi | Katibu Mkuu |
4 | Dkt. Franklin Jasson Rwezimula | Naibu Katibu Mkuu |
5 | Bw. Michael G. Masanja | Mkurugenzi Utawala na Rasilimaliwatu |
6 | Bw. Mbaraka R. Stambuli | Mkurugenzi wa Sera na Mipango |
7 | DCP Neema M. Mwanga | Mkurugenzi wa Utajiri na Maliasilia |
8 | Bw. David T. Mwangosi | Mkurugenzi wa Ununuzi na Ugavi |
9 | Bi. Nkasori M. Sarakikya | Mkurugenzi Idara ya Haki za Binadamu |
10 | Bi. Angela Anatory | Mkurugenzi Huduma za Kisheria kwa Umma |
11 | Bi. Jane Lyimo | Mkurugenzi Idara Katiba na Ufuatiliaji Haki |
12 | CPA Meshack N. Mwakyambiki | Mhasibu Mkuu |
13 | Bi. Twiningile R. Mwakalukwa | Mkaguzi Mkuu wa Ndani |
14 | Bw. Lusajo Mwakabuku | Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano |
15 | Bw. Gabriel O. Ally | Mkuu wa Kitengo cha TEHAMA |
16 | Bw. Felix G. Chakila | Mkurugenzi Msaidizi Sehemu ya Usuluhishi |
17 | Bw. Abdulrahman M. Mshamu | Mkurugenzi Msaidizi Huduma za Kisheria kwa Umma |
18 | Bi. Ester Msambazi | Kaimu Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma za Msaada wa Kisheria |
19 | Bw. Burton A. Mwasomola | Mkurugenzi Msaidizi Sehemu ya Katiba |
20 | Bw. Alfred O. Dede | Mkurugenzi Msaidizi Utawala |
21 | Bw. Emmanuel H. Mayeji | Kaimu Mkurugenzi Ufuatiliaji na Tathmini |
22 | Bi. Maria A. Kwambaza | Mkurugenzi Msaidizi wa Mipango na Bajeti |
23 | Bw. Richard J. Kilanga | Mkurugenzi Msaidizi Sehemu ya Uangalizi na Utekelezaji wa Haki za Binadamu |
24 | Bi. Remida Lulambo | Kaimu Mkurugenzi Msaidizi Rasilimaliwatu |
25 | Bi. Beatrice Mpembo | Mkurugenzi Msaidizi Taarifa za Haki za Binadamu |
26 | Bw. Abel S. Sengasenga | Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Sera, Utafiti na Ubunifu |
27 | Bw. Lawrence Kabigi | Mkurugenzi Msaidizi Ufuatiliaji Haki |