• Maswali/
  • Mrejesho
  • English

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Katiba na Sheria

(MoCLA)

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhamira
    • Historia ya Wizara
    • Menejimenti
    • Majukumu Yetu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
      • Kitengo cha Uhasibu na Fedha
      • Kitengo cha Tehama
      • Idara ya Utawala na Rasilimali Watu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Idara ya Sera na Mipango
      • Idara ya Huduma ya Kisheria kwa Umma
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Idara ya Katiba na Ufuatiliaji Haki
      • Kitengo cha Ununuzi na Ugavi
      • Divisheni ya Haki za Binadamu
      • Natural Wealth and Resources Observatory Unit
  • Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Maktaba ya Video
    • Habari
    • Matukio
    • Matangazo
  • Machapisho
    • Katiba
    • Fomu Mbalimbali
    • Tafiti
    • Miongozo
    • Taarifa Mbalimbali
    • Sera
    • Sheria Mbalimbali
      • Katiba na Haki za Binadamu
      • Sheria za Jinai
      • Sheria za Madai
      • Sheria za Ardhi
      • Sheria za Mazingira
      • Sheria za Mirathi
      • Sheria za Utawala
      • Sheria za Biashara
      • Sheria za Rasilimali za Nchi na Madini
      • Sheria za Masaidiano na Mataifa Mengine
      • Sheria za Kimataifa
      • Sheria za Mabaraza na Usuluhishi
      • Sheria za Marekebisho ya Sheria Mbalimbali
  • Ununuzi
    • Taarifa ya Matarajio ya Ununuzi
    • Machapisho ya Tuzo za Zabuni
    • Mpango wa Mwaka wa Unununzi
    • Tangazo la Zabuni
  • Huduma Kupitia Mtandao
    • Mfumo wa Kuomba Kufungua Mashauri Nje ya Muda
    • Mfumo wa Kupokea Malalamiko
    • Usajili wa Watoa Huduma za Upatanishi, Majadiliano, Maridhiano na Usuluhishi
  • Huduma za Msaada wa Kisheria
    • Usajili wa Watoa Huduma za Msaada wa Kisheria
    • Mfumo wa Kuomba Msaada wa Kisheria
  • Sheria Blog
  • Mwanzo
  • Majukumu ya Idara ya Utawala na Rasilimali Watu

Majukumu ya Idara ya Utawala na Rasilimali Watu

Madhumuni

Idara ya Utawala na Rasilimali Watu ni mhimili wa Uendeshaji wa shughuli za Taasisi hii za kila siku. Katika kutekeleza wajibu wake Idara inamsaidia Mtendajji Mkuu wa Wizara ambaye ni Katibu Mkuu kuiongoza Wizara. Aidha, Idara hii ina jukumu la kuhakikisha kuwa Taasisi ina nyenzo za kutosha za kufanyia kazi, nyenzo hizo ni pamoja na rasilimali watu, fedha, majengo, usafiri, samani, n.k. Idara ya Utawala na Rasilimali Watu pia inao wajibu wa kuwezesha Idara zingine “Line Departments” kutenda kazi zake. Pia ina jukumu la kusimamia utendaji kazi katika Taasisi kwa kuhakikisha kuwa malengo makuu ya Tasisi yanafikiwa.

Idara ya Utawala na Raasilimali watu imegawanyhika katika sehemu kuuu mbili:-

Sehemu ya Utawala/Uendeshaji:

(i)Kuhakikisha watumishi wanafuata Sheria na Kanuni za Utumishi wa Umma;

(ii)Kutafsiri Sheria na Kanuni za Utendaji kazi kwa watumishi katika eneo la kazi;

(iii)Kuhakikisha Wizara ina vitendea kazi vya kutosha;

(iv)Kusimamia utendaji wa Masjijala za Wizara;

(v)Kushughulikia masuala ya Itifaki;

(vi)Kusimamia Usafiri, Ulinzi na Usalama wa Jengo;

(vii) Kusimamia matengeneonzo ya vitemndea kazi vya Wizara, Majengo na bustani;

(viii)Kusimamia ustawi wa wafanyakazi ikiwa ni pamoja na Afya, Usalama, Michezo na Utamaduni;

(ix)Kusimamia Maadili ya Utumishi wa Umma pamoja na kutoa elimu ya kuzuia na kupambana na Rushwa;

(x)Kusimamia masuala Mtambuka kama Jinsia, Ukimwi (HIV/AIDS) na kuwa mwakilishii wa masuala Mtambuka Wizarani;

(xi)Kuratibu masuala ya Sekta binafsi katika Wizara;

(xii) Kuratibu Utekelezaji wa Mikakati ya Kuboresha Utendaji Wizarani;

(xiii)Kushauri juu ya mbinu za kuongeza Ufanisi Wizarani;

(xiv)Kuratibu Utekelezaji wa Mkataba wa Huduma kwa Mteja;

Sehemu ya Rasiliamali Watu:

(i)Kuratibu ajira, kuthibitisha kazini, kupandisha vyeo na uhamisho wa watumishi;

(ii)Kuratibu na kuandaa Mpango wa Mafunzo wa watumishi wa Wizara;

(iii)Kuandaa Mafunzo ya awali ya watumishi;

(iv)Kuandaa Mpango wa Rasilimali Watu wa Wizara na mahitaji ya Wataalamu wa Wizara;

(v)Usimamizi na uendesheaji wa masuala ya Mishahara;

(vi)Uratibu wa Mkakati wa Upimaji Utendaji Kazi (OPRAS);

(vii) Kushughulikia masuala ya likizo za wafanyakazi;

(viii)Kushughulikia stahili mbalimbali za watumishi;

(ix)Kushughulikia stahili za watumishi wanapostaafu kazi ama kuacha kazi.

Matangazo

  • KUTOA MAONI KUHUSU UBORESHAJI WA MFUMO WA SHERIA NCHINI NA ELIMU YA UANASHERIA KWA VITENDO

    ... Oct 19, 2022

  • MAOMBI YA KUSAJILIWA KWENYE MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA WATU KWA MAWAKILI WANAOTOA HUDUMA ZA KI... Jun 01, 2022

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA

    Matangazo Zaidi

Habari Mpya

  • ​ARDHI YA TANZANIA NI YA UMMA NA SIO YA MTU BINAFSI- DKT. NDUMBARO

    ​ARDHI YA TANZANIA NI YA UMMA NA SIO YA MTU BINAFSI- DKT. NDUMBARO

    Jan 30, 2023
  • ​NDUMBARO AZINDUA KITABU CHA MASUALA YA AJIRA NA SHERIA ZA KAZI

    ​NDUMBARO AZINDUA KITABU CHA MASUALA YA AJIRA NA SHERIA ZA KAZI

    Jan 26, 2023
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA KUFANYIKA NCHI NZIMA: DKT. KAZUNGU

    KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA KUFANYIKA NCHI NZIMA: DKT. KAZUNGU

    Jan 25, 2023
  • ​MAONESHO YA WIKI YA SHERIA: WATATUZI WA MIGOGORO KWA NJIA MBADALA WAANZA KUSAJILIWA KIELEKTRONIKI.

    ​MAONESHO YA WIKI YA SHERIA: WATATUZI WA MIGOGORO KWA NJIA MBADALA WAANZA KUSAJILIWA KIELEKTRONIKI.

    Jan 23, 2023
  • Soma Habari zaidi
Tanzania Census 2022
  • Video
  • Albamu
  • 5 Pics
  • 2 Pics

Wasiliana Nasi

Wizara ya Katiba na Sheria

Mji wa Serikali,Mtumba

S.L.P. 315,

DODOMA.

Masijala: barua@sheria.go.tz

Simu: +255 26 2310021

Nukushi: 255 26 2321679
Barua pepe: km@sheria.go.tz

  • Sera Ya Faragha
  • Angalizo
  • Ramani Ya Tovuti
  • Maswali
  • Barua Pepe

© 2023 Wizara ya Katiba na Sheria. Haki zote zimehifadhiwa..
Imesanifiwa, Imetengenezwa, na Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) na Inaendeshwa na Wizara ya Katiba na Sheria