• Maswali/
  • Mrejesho
  • English

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Katiba na Sheria

(MoCLA)

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhamira
    • Historia ya Wizara
    • Menejimenti
    • Majukumu Yetu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
      • Kitengo cha Uhasibu na Fedha
      • Kitengo cha Tehama
      • Idara ya Utawala na Rasilimali Watu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Idara ya Sera na Mipango
      • Idara ya Huduma ya Kisheria kwa Umma
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Idara ya Katiba na Ufuatiliaji Haki
      • Kitengo cha Ununuzi na Ugavi
      • Divisheni ya Haki za Binadamu
      • Natural Wealth and Resources Observatory Unit
  • Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Maktaba ya Video
    • Habari
    • Matukio
    • Matangazo
  • Machapisho
    • Katiba
    • Fomu Mbalimbali
    • Tafiti
    • Miongozo
    • Taarifa Mbalimbali
    • Sera
    • Sheria Mbalimbali
      • Katiba na Haki za Binadamu
      • Sheria za Jinai
      • Sheria za Madai
      • Sheria za Ardhi
      • Sheria za Mazingira
      • Sheria za Mirathi
      • Sheria za Utawala
      • Sheria za Biashara
      • Sheria za Rasilimali za Nchi na Madini
      • Sheria za Masaidiano na Mataifa Mengine
      • Sheria za Kimataifa
      • Sheria za Mabaraza na Usuluhishi
      • Sheria za Marekebisho ya Sheria Mbalimbali
  • Ununuzi
    • Taarifa ya Matarajio ya Ununuzi
    • Machapisho ya Tuzo za Zabuni
    • Mpango wa Mwaka wa Unununzi
    • Tangazo la Zabuni
  • Huduma Kupitia Mtandao
    • Mfumo wa Kuomba Kufungua Mashauri Nje ya Muda
    • Mfumo wa Kupokea Malalamiko
    • Usajili wa Watoa Huduma za Upatanishi, Majadiliano, Maridhiano na Usuluhishi
  • Huduma za Msaada wa Kisheria
    • Usajili wa Watoa Huduma za Msaada wa Kisheria
    • Mfumo wa Kuomba Msaada wa Kisheria
  • Sheria Blog
  • Mwanzo
  • Majukumu ya Idara ya Katiba na Ufuatiliaji Haki

Majukumu ya Idara ya Katiba na Ufuatiliaji Haki

Jukumu kuu la Divisheni ni kushughulikia masuala ya utekelezaji wa Katiba na ufuatiliaji wa haki na masuala ya haki za binadamu.

Kwa maana ya kwamba;

i.Kushauri Wizara kuhusu masuala ya kisera, utoaji haki na maendeleo ya Katiba.

ii.Kufuatilia na kushauri kuhusu mwitikio, uimarishaji na umuhimu wa masuala ya Katiba na utoaji haki.

iii.Kuratibu maendeleo ya Katiba na utekelezaji wake.

iv.Kufuatilia mifumo ya utoaji haki inavyotekeleza majukumu yake.

v.Kuratibu na kuandaa ripoti za haki za binadamu kwa ajili ya kuwasilisha katika vyombo na mashirika ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa.

Majukumu mengine ya Divisheni ni:

i.Kuratibu masuala ya Katiba;

ii.Kutoa elimu kwa umma kuhusu masuala ya Katiba;

iii.Kushirikiana na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika masuala yanayohusu Katiba

iv.Kushirikiana na Ofisi ya Makamu wa Rais katika masuala yanayohusu Katiba;

v.kuandaa miongozo ya kisheria na kisera na kuratibu marekebisho ya sheria kwa ajili ya utekelezaji wa haki;

vi.Kufuatilia utekelezaji wa mfumo wa utoaji haki nchini;

vii.Kuratibu vyombo vya utoaji haki nchini na utendaji wake;

viii.Kuratibu mikutano ya wadau ya kukusanya maoni juu ya masuala mbalimbali yanayohusu mikataba ya kimataifa;

ix.Kuandaa ripoti ya haki za binadamu kwa ajili ya kuwasilisha kwa vyombo vya Umoja wa Mataifa vinavyosimamia haki za binadamu;

x.Kutoa elimu kwa wananchi kuhusu masuala ya haki za binadamu;

xi.Kushirikiana na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika kupata ushauri na maoni kuhusu masuala ya haki za binadamu.

Matangazo

  • KUTOA MAONI KUHUSU UBORESHAJI WA MFUMO WA SHERIA NCHINI NA ELIMU YA UANASHERIA KWA VITENDO

    ... Oct 19, 2022

  • MAOMBI YA KUSAJILIWA KWENYE MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA WATU KWA MAWAKILI WANAOTOA HUDUMA ZA KI... Jun 01, 2022

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA

    Matangazo Zaidi

Habari Mpya

  • ​ARDHI YA TANZANIA NI YA UMMA NA SIO YA MTU BINAFSI- DKT. NDUMBARO

    ​ARDHI YA TANZANIA NI YA UMMA NA SIO YA MTU BINAFSI- DKT. NDUMBARO

    Jan 30, 2023
  • ​NDUMBARO AZINDUA KITABU CHA MASUALA YA AJIRA NA SHERIA ZA KAZI

    ​NDUMBARO AZINDUA KITABU CHA MASUALA YA AJIRA NA SHERIA ZA KAZI

    Jan 26, 2023
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA KUFANYIKA NCHI NZIMA: DKT. KAZUNGU

    KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA KUFANYIKA NCHI NZIMA: DKT. KAZUNGU

    Jan 25, 2023
  • ​MAONESHO YA WIKI YA SHERIA: WATATUZI WA MIGOGORO KWA NJIA MBADALA WAANZA KUSAJILIWA KIELEKTRONIKI.

    ​MAONESHO YA WIKI YA SHERIA: WATATUZI WA MIGOGORO KWA NJIA MBADALA WAANZA KUSAJILIWA KIELEKTRONIKI.

    Jan 23, 2023
  • Soma Habari zaidi
Tanzania Census 2022
  • Video
  • Albamu
  • 5 Pics
  • 2 Pics

Wasiliana Nasi

Wizara ya Katiba na Sheria

Mji wa Serikali,Mtumba

S.L.P. 315,

DODOMA.

Masijala: barua@sheria.go.tz

Simu: +255 26 2310021

Nukushi: 255 26 2321679
Barua pepe: km@sheria.go.tz

  • Sera Ya Faragha
  • Angalizo
  • Ramani Ya Tovuti
  • Maswali
  • Barua Pepe

© 2023 Wizara ya Katiba na Sheria. Haki zote zimehifadhiwa..
Imesanifiwa, Imetengenezwa, na Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) na Inaendeshwa na Wizara ya Katiba na Sheria