Wasiliana nasi kupitia Kituo cha Huduma kwa Mteja kwa namba 0262 160 360 au 0800 004 004
Wasiliana nasi kupitia Kituo cha Huduma kwa Mteja kwa namba 0262 160 360 au 0800 004 004
23 Jan, 2026
Wizara ya Katiba na Sheria iko tayari kupokea, kusikiliza na kutatua changamoto zako zinazohusiana na masuala yote ya kisheria, Ikiwa unakabiliwa na changamoto za kisheria kama vile migogoro ya ardhi, masuala ya mirathi, ndoa, matunzo ya Mtoto, unyanyasaji wa kijinsia na mengine yote yanayohusiana na haki zako, usisite kuwasiliana na Kituo cha Huduma kwa Mteja kupitia simu yako ya Mkononi. Wataalam wabobezi katika masuala ya Sheria wako tayari kukuhudumia!
Tupigie kwa namba 0262 160 360 au 0800 004 004 kila siku za Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 01:30 Asubuh hadi saa 11:00 Jioni.
#wizarayakatibanasheriatunakusikilizatunakuelewanatunakusaidia#