Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Katiba na Sheria

Heri ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake 2026

08 Mar, 2026
16:17:00 - 16:17:00
Mtumba, Jijini Dodoma
sheria@gmail.com

Wanawake wa Wizara ya Katiba na Sheria wanaungana na wanawake wote duniani kote kuadhimisha siku ya Kimataifa ya Wanawake. Maadhimisho hufanyika kila tarehe 3 Machi, ikiwa ni sehemu ya kutambua mchango mkubwa wa mwanamke katika jamii, taifa na dunia kwa ujumla.

Heri ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake 2026