UTOLEWAJI WA HUDUMA ZA MSAADA WA KISHERIA
UTOLEWAJI WA HUDUMA ZA MSAADA WA KISHERIA
17 Sep, 2026 - 20 Sep, 2026
08:00:00 - 17:00:00
Namtumbo and Njombe
sheria@gmail.com
Wizara ya Katiba na Sheria, inatoa huduma za kisheria bure kwa wananchi wa mikoa ya Njombe na Ruvuma ambapo huduma hizo kwa mkoa wa Ruvuma zinatolewa wilayani Namtumbo na Mkoani Njombe huduma zinatolewa katika viwanja vya stendi ya zamani.
Wananchi wote wanakaribishwa kupata huduma za msaada wa kisheria ikiwemo usuluhishi wa migogoro ya ardhi, ndoa, mirathi, matunzo ya watoto na masuala ya kijinsia. Aidha vyeti vya kuzaliwa vitatolewa, uandishi wa nyaraka za kisheria pamoja na elimu ya masuala ya sheria.