Kuwasilisha maombi ya kuongezewa muda wa kufungua mashauri nje ya muda
Imewekwa: 01 Feb, 2023
Tembelea https://smmis.sheria.go.tz/
Jisajiliili uweze kuwasilisha maombi yako kwa Wizara kwa kuchagua huduma ya Maombi ya Kuongezewa Muda wa Kufungua Mashauri nje ya Muda
Kwa msaada zaidi wasiliana nasi kupitia
Barua pepe: supports@sheria.go.tz
Simu: 0714237904
TUMEKUFIKIA