Kusajiliwa kuwa mtoa huduma za Msaada wa Kisheria
Imewekwa: 01 Feb, 2023
Jisajili sasa kwa mujibu wa Sheria
Tembelea https://legalaid.sheria.go.tz/
Kisha fuata maelekezo kujisajili kama mtoa huduma za msaada wa Kisheri (Legal Aid Provider, Parallegal)
Kwa Msaada zaidi wasiliana nasi kupitia
Barua pepe:registrar@sheria.go.tz
Simu: 0714237904