Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Katiba na Sheria

Angalizo

Tunauza huduma zinazotolewa kupitia nyenzo mbalimbali za umma na binafsi, baadhi yake ziko nje ya udhibiti wetu. Hivyo, Wizara haitahusika na kuhakikisha ubora wa huduma kwa nyenzo ambazo ziko nje ya udhibiti wake wala haitahusika na kuhakikisha huduma ulizolipia kuwa zitakuwa kamilifu/zinafanyakazi na kupatikana 100% ya muda wake na haiwajibiki kwa hasara yoyote itokeapo mfumo utashindwa kutoa kufanya kazi.