Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Katiba na Sheria

Mradi wa Access to Justice for Women and Girls in Tanzania

Mradi wa Access to Justice for Women and Girls in Tanzania

Mradi huu unalenga kujenga uwezo wa kisheria na kisera wa Wizara katika kuimarisha upatikanaji wa wanawake na Watoto wa kike nchini. Matokeo ya awali ya mradi huu ni kuwa na mifumo ya kisheria na kisera iliyoboreshwa kwa ajili kuwezesha upatikanaji wa haki za wanawake na Watoto wa kike. Matokeo ya kati ya mradi huu kuimarika kwa upatikanaji wa haki za wanawake na Watoto wa kike nchini. Matokeo ya muda mrefu wa mradi huu ni haki za wanawake na Watoto wakike zinasimamiwa na wadau wote kwa maendeleo ya taifa.