• Maswali/
  • Mrejesho
  • English

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Katiba na Sheria

(MoCLA)

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhamira
    • Historia ya Wizara
    • Menejimenti
    • Majukumu Yetu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
      • Kitengo cha Uhasibu na Fedha
      • Kitengo cha Tehama
      • Idara ya Utawala na Rasilimali Watu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Idara ya Sera na Mipango
      • Idara ya Huduma ya Kisheria kwa Umma
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Idara ya Katiba na Ufuatiliaji Haki
      • Kitengo cha Ununuzi na Ugavi
      • Divisheni ya Haki za Binadamu
      • Natural Wealth and Resources Observatory Unit
  • Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Maktaba ya Video
    • Habari
    • Matukio
    • Matangazo
  • Machapisho
    • Katiba
    • Tafiti
    • Miongozo
    • Taarifa Mbalimbali
    • Sera
    • Sheria Mbalimbali
      • Katiba na Haki za Binadamu
      • Sheria za Jinai
      • Sheria za Madai
      • Sheria za Ardhi
      • Sheria za Mazingira
      • Sheria za Mirathi
      • Sheria za Utawala
      • Sheria za Biashara
      • Sheria za Rasilimali za Nchi na Madini
      • Sheria za Masaidiano na Mataifa Mengine
      • Sheria za Kimataifa
      • Sheria za Mabaraza na Usuluhishi
      • Sheria za Marekebisho ya Sheria Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
  • Ununuzi
    • Taarifa ya Matarajio ya Ununuzi
    • Machapisho ya Tuzo za Zabuni
    • Mpango wa Mwaka wa Unununzi
    • Tangazo la Zabuni
  • Huduma za Tehama
    • MoCLA MIS
    • Mfumo wa Usimamizi wa Sheria
    • Kanzi Data ya Malalamiko
    • Kanzi Data ya Wanasheria Serikalini
    • Msaada wa Kisheria
  • Msaada wa Kisheria
  • Malalamiko
  • Blog
  • Mwanzo
  • Majukumu ya Kitengo cha Fedha na Uhasibu

Majukumu ya Kitengo cha Fedha na Uhasibu

  1. Kutekeleza jukumu la ulipaji fedha kwa kuzingatia taratibu na miongozo iliyopo na kuhakikisha watu wanafuata sheria na taratibu za fedha kwa makundi mbalimbali yakiwemo;
    • Madai ya watumishi na stahili zao mfano malipo ya likizo, safari na madai mengineyo.
    • Kulipa stahili za viongozi kisheria
    • Kulipa mishahara
    • Madai mbalimbali ya viongozi mfano fedha ya safari
    • Kulipa watoa huduma mbalimbali zilizotokana na mikataba mfano, ulinzi, usafi, huduma za internet, simu, umeme na kadhalika
    • Kulipa gharama ya matengenezo ya magari na vifaa mbalimbali vya ofisi
    • Kulipia ,manunuzi mbalimbali mfano shajala na kadhalika
  2. Utunzaji wa kumbukumbu na nyaraka za fedha
  3. Kuandaa taarifa za kila mwezi, kila robo ya mwaka, nusu mwaka na kuwasilisha Hazina
  4. Kuandaa taarifa za hesabu kwa mwaka mzima wa fedha “Annual Final Accounts”
  5. Kutoa majibu na kufuatilia majibu toka Idara mbalimbali na Vitengo kutokana na Hoja za Ukaguzi, hii inahusu hoja za mkaguzi wa ndani na nje
  6. Kuandaa majibu kutokana na “Management letter” anayoitoa Mkaguzi wa Nje, kutokana na utendaji wa mwaka mzima wa wa Wizara kwa Idara na Vitengo vyote.
  7. Ufuatiliaji wa masuala ya PAC endapo Wizara itatakiwa kuhudhuria mbele ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali.
  8. Utoaji taarifa kuhusu maduhuli yaliyokusanywa na Wizara
  9. Kusimamia vikao viwili kabla na baada ya Ukaguzi (Entry and Exit Conference)
  10. Usimamizi wa Special Funds kama zipo
  11. Kutoa ushauri kwa Afisa Masuhuli kuhusiana na Masuala ya fedha.

Matangazo

  • Fomu za Usajili Mikataba ya Utajiri na Maliasilia za Nchi

    Fomu ya maombi ya kujiandikisha kama mtoa huduma ya kisheria

    Taarifa kwa Umma kuhusu Usajili wa Watoa Huduma za Msaada wa Kisheria

    Matangazo Zaidi

Habari Mpya

  • WIZARA YA KATIBA NA SHERIA YAANZA ZOEZI LA KUTAFSIRI SHERIA ZOTE NCHINI KUWA KATIKA LUGHA YA KISWAHILI

    WIZARA YA KATIBA NA SHERIA YAANZA ZOEZI LA KUTAFSIRI SHERIA ZOTE NCHINI KUWA KATIKA LUGHA YA KISWAHILI

    Mar 05, 2021
  • ​DED KILINDI AWATAKA WAJUMBE WA MABARAZA YA ARDHI KUTENDA HAKI

    ​DED KILINDI AWATAKA WAJUMBE WA MABARAZA YA ARDHI KUTENDA HAKI

    Nov 17, 2020
  • MKUU WA MKOA WA TANGA ATAKA TAASISI ZA UTOAJI HAKI ZIBORESHWE ILI ZIWEZE KUTOA HAKI KWA WAKATI

    MKUU WA MKOA WA TANGA ATAKA TAASISI ZA UTOAJI HAKI ZIBORESHWE ILI ZIWEZE KUTOA HAKI KWA WAKATI

    Nov 16, 2020
  • ​WAJUMBE WA MABARAZA YA ARDHI ACHENI KUPOKEA RUSHWA – MHE. NGUVIRA

    ​WAJUMBE WA MABARAZA YA ARDHI ACHENI KUPOKEA RUSHWA – MHE. NGUVIRA

    Nov 15, 2020
  • Soma Habari zaidi
  • Video
  • Albamu
  • 5 Pics
  • 2 Pics

Wasiliana Nasi

Wizara ya Katiba na Sheria

Mji wa Serikali,Mtumba

S.L.P. 315,

DODOMA.

Masijala: barua@sheria.go.tz

Simu: +255 26 2310021

Nukushi: 255 26 2321679
Barua pepe: km@sheria.go.tz

  • Sera Ya Faragha
  • Angalizo
  • Ramani Ya Tovuti
  • Maswali
  • Barua Pepe

© 2021 Wizara ya Katiba na Sheria. Haki zote zimehifadhiwa..
Imesanifiwa, Imetengenezwa, na Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) na Inaendeshwa na Wizara ya Katiba na Sheria