TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UAMUZI WA KIKAO CHA NANE CHA JOPO LA ITHIBATI YA WAENDESHA MARIDHIANO, MAJADILIANO , UPATANISHI NA USULUHISHI
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UAMUZI WA KIKAO CHA NANE CHA JOPO LA ITHIBATI YA WAENDESHA MARIDHIANO, MAJADILIANO , UPATANISHI NA USULUHISHI
18 Oct, 2025
Msajili wa watoa huduma za maridhiano, majadiliano, upatanishi na usuluhishi anapenda kuutarifu umma kuwa katika kikao chake cha Nane (8) cha jopo la ithibati kilichofanyika tarehe 02 na 03 Oktoba, 2025 imeidhinisha majina ya waombaji waliokidhi vigezo kusajiliwa kuwa watoa huduma za utatuzi wa mogogoro kwa njia mbadala.