Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Katiba na Sheria

TANGAZO KWA WATUMISHI

01 Feb, 2023

Katibu  Mkuu  wa Wizara ya Katiba na  Sheria  anawahimiza watumishi wote kuwahi kazini na kufanya kazi kwa bidii  ili kutimiza malengo ya  Wizara. Pia anawakumbusha watumishi kufanya mazoezi kwa ajili ya afya zetu pamoja na  kujiandaa na mashindano ya SHIMIWI.