TANGAZO KWA UMMA "MAJINA YALIYOTHIBITISHWA KUSAJILIWA KUTOA HUDUMA ZA UTATUZI WA MIGOGORO KWA NJIA MBADALA''
TANGAZO KWA UMMA "MAJINA YALIYOTHIBITISHWA KUSAJILIWA KUTOA HUDUMA ZA UTATUZI WA MIGOGORO KWA NJIA MBADALA''
18 Mar, 2026
Msajili wa Watoa Huduma za Maridhiano, Majadiliano, Upatanishi na Usuluhishi kutoka Wizara ya Katiba na Sheria, anapenda kuutarifu Umma kuwa, katika Kikao chake cha Tisa (9) cha Jopo la Ithibati kilichofanyika tarehe 27 na 28 Februari, 2026, majina yaliyoorodheshwa katika tangazo hili yameidhinishwa baada ya kukidhi vigezo stahiki, na wanapaswa kusajiliwa kuwa Watoa Huduma za Utatuzi wa Migogoro kwa Njia Mbadala.