Kusajiliwa kama mtoa huduma za masuala ya upatanishi, majadiliano, maridhiano na usuluhishi
Imewekwa: 01 Feb, 2023
Tembelea anwani ya https://mmuu.sheria.go.tz/ na kufuata maelekezo ili uweze kujisajili na kutoa huduma hizi kwa maujibu wa sheria.
Kwa msaada zaidi wasiliana nasi kupitia
Barua pepe: msajili.mmuu@sheria.go.tz
Simu: 0714237904
TUMEKUFIKIA