• Maswali/
  • Mrejesho
  • English

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Katiba na Sheria

(MoCLA)

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhamira
    • Historia ya Wizara
    • Menejimenti
    • Majukumu Yetu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
      • Kitengo cha Uhasibu na Fedha
      • Kitengo cha Tehama
      • Idara ya Utawala na Rasilimali Watu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Idara ya Sera na Mipango
      • Idara ya Huduma ya Kisheria kwa Umma
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Idara ya Katiba na Ufuatiliaji Haki
      • Kitengo cha Ununuzi na Ugavi
      • Divisheni ya Haki za Binadamu
      • Natural Wealth and Resources Observatory Unit
  • Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Maktaba ya Video
    • Habari
    • Matukio
    • Matangazo
  • Machapisho
    • Katiba
    • Fomu Mbalimbali
    • Tafiti
    • Miongozo
    • Taarifa Mbalimbali
    • Sera
    • Sheria Mbalimbali
      • Katiba na Haki za Binadamu
      • Sheria za Jinai
      • Sheria za Madai
      • Sheria za Ardhi
      • Sheria za Mazingira
      • Sheria za Mirathi
      • Sheria za Utawala
      • Sheria za Biashara
      • Sheria za Rasilimali za Nchi na Madini
      • Sheria za Masaidiano na Mataifa Mengine
      • Sheria za Kimataifa
      • Sheria za Mabaraza na Usuluhishi
      • Sheria za Marekebisho ya Sheria Mbalimbali
  • Ununuzi
    • Taarifa ya Matarajio ya Ununuzi
    • Machapisho ya Tuzo za Zabuni
    • Mpango wa Mwaka wa Unununzi
    • Tangazo la Zabuni
  • Huduma Kupitia Mtandao
    • Mfumo wa Kuomba Kufungua Mashauri Nje ya Muda
    • Mfumo wa Kupokea Malalamiko
    • Usajili wa Watoa Huduma za Upatanishi, Majadiliano, Maridhiano na Usuluhishi
  • Huduma za Msaada wa Kisheria
    • Usajili wa Watoa Huduma za Msaada wa Kisheria
    • Mfumo wa Kuomba Msaada wa Kisheria
  • Sheria Blog
  • Mwanzo
  • Majukumu ya Idara ya Sera na Mipango

Majukumu ya Idara ya Sera na Mipango

Madhumuni ya kuanzishwa

Kutoa ushauri wa kitaalam na huduma katika masuala ya sera na mipango; ufuatiliaji na tathmini

Majukumu ya Divisheni

i)Kuratibu maandalizi ya sera chini ya wizara, usimamizi na tathimini ya utekelezaji wake;

ii)Kufanya uchambuzi wa sera na nyaraka kutoka wizara mbalimbali na kushauri ipasavyo;

iii)Kuratibu maandalizi ya mipango na bajeti ya Wizara pamoja na kutekelezaji wake;

iv)Kufanya ufuatiliaji na tathmini ya utekelezaji wa mipango na bajeti ya Wizara na kuandaa taarifa;

v)Kufanya tafiti, uchambuzi na tathimini ya hali utoaji wa huduma mbalimbali chini ya Wizara na kuwezesha menejimenti kufanya uamuzi sahihi kuhusu hali ya baadaye ya sekta ya sheria;

vi)Kuhamasisha na kuwezesha ushiriki wa sekta binafsi katika utoaji wa huduma za kiuendeshaji;

vii)Kuratibu maandalizi ya hotuba ya Waziri wa Katiba na Sheria kuhusu bajeti ya Wizara; na mchango wa Wizara katika taarifa ya tathmini ya hali ya uchumi wa nchi;

viii)Kutoa ushauri wa kitaalam katika kuoanisha Mpango Mkakati wa Wizara, mipango na bajeti kwa kila mwaka; na mfumo wa ufuatiliaji na tathmini;

ix)Kuhakikisha kuwa mipango na bajeti ya Wizara imejumuishwa katika mpango wa Taifa wa maendeleo na bajeti ya Serikali;

x)Kufanya utafiti wa hali ilivyo katika utoaji wa huduma za kisheria, kubainisha maeneo yenye upungufu wa kisera;

xi)Kuandaa mipango ya maendeleo ya muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu kwa ajili ya sekta ya sheria.

Idara hii inaongozwa na afisa mwenye cheo cha Mkurugenzi na inaundwa na sehemu tatu: Sehemu ya Sera, Sehemu ya Mipango na Bajeti; na Sehemu ya Ufuatiliaji na Tathmini.



Matangazo

  • KUTOA MAONI KUHUSU UBORESHAJI WA MFUMO WA SHERIA NCHINI NA ELIMU YA UANASHERIA KWA VITENDO

    ... Oct 19, 2022

  • MAOMBI YA KUSAJILIWA KWENYE MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA WATU KWA MAWAKILI WANAOTOA HUDUMA ZA KI... Jun 01, 2022

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA

    Matangazo Zaidi

Habari Mpya

  • ​ARDHI YA TANZANIA NI YA UMMA NA SIO YA MTU BINAFSI- DKT. NDUMBARO

    ​ARDHI YA TANZANIA NI YA UMMA NA SIO YA MTU BINAFSI- DKT. NDUMBARO

    Jan 30, 2023
  • ​NDUMBARO AZINDUA KITABU CHA MASUALA YA AJIRA NA SHERIA ZA KAZI

    ​NDUMBARO AZINDUA KITABU CHA MASUALA YA AJIRA NA SHERIA ZA KAZI

    Jan 26, 2023
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA KUFANYIKA NCHI NZIMA: DKT. KAZUNGU

    KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA KUFANYIKA NCHI NZIMA: DKT. KAZUNGU

    Jan 25, 2023
  • ​MAONESHO YA WIKI YA SHERIA: WATATUZI WA MIGOGORO KWA NJIA MBADALA WAANZA KUSAJILIWA KIELEKTRONIKI.

    ​MAONESHO YA WIKI YA SHERIA: WATATUZI WA MIGOGORO KWA NJIA MBADALA WAANZA KUSAJILIWA KIELEKTRONIKI.

    Jan 23, 2023
  • Soma Habari zaidi
Tanzania Census 2022
  • Video
  • Albamu
  • 5 Pics
  • 2 Pics

Wasiliana Nasi

Wizara ya Katiba na Sheria

Mji wa Serikali,Mtumba

S.L.P. 315,

DODOMA.

Masijala: barua@sheria.go.tz

Simu: +255 26 2310021

Nukushi: 255 26 2321679
Barua pepe: km@sheria.go.tz

  • Sera Ya Faragha
  • Angalizo
  • Ramani Ya Tovuti
  • Maswali
  • Barua Pepe

© 2023 Wizara ya Katiba na Sheria. Haki zote zimehifadhiwa..
Imesanifiwa, Imetengenezwa, na Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) na Inaendeshwa na Wizara ya Katiba na Sheria