Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akiongea alipotembelea Makao Makuu ya Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mei 02, 2024 Jijini Arusha.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akisalimiana na Rais wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Jaji Nesto Kayobera, Mei 02, 2024 Jijini Arusha.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akiwa na Jaji Imani Aboud, Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Mei 02, 2024 Jijini Arusha.
Rais wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Jaji Nesto Kayobera (katikati), Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana na Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Mary Makondo, Mei 02, 2024 Jijini Arusha.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (katikati) kwenye picha ya pamoja na ujumbe kutoka Wizara ya Katiba na Sheria alioambatana nao alipotembelea Makao Makuu ya Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, kulia kwake ni Rais wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Jaji Nesto Kayobera na kulia kabisa ni Katibu Mkuu Bi. Mary Makondo, Mei 02, 2024 Jijini Arusha.
Watumishi wa Wizara wakijiandaa kushiriki kwenye maandamano wakati wa maadhimisho ya Mei Mosi Kitaifa Jijini Arusha, Mei 01, 2024
Watumishi wa Wizara wakishiriki kwenye maandano wakati wa maadhimisho ya Mei Mosi Kitaifa Jijini Arusha, Mei 01, 2024
Watumishi wa Wizara wakishiriki kwenye maandamano wakati wa maadhimisho ya Mei Mosi Kitaifa Jijini Arusha, Mei 01, 2024
Watumishi wa Wizara wakiwa uwanjani baada ya maandamano kuadhimisha ya Mei Mosi Kitaifa Jijini Arusha, Mei 01, 2024
Watumishi wa Wizara wakiwa uwanjani baada ya maandamano kuadhimisha ya Mei Mosi Kitaifa Jijini Arusha, Mei 01, 2024