ZIARA YA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA MKOANI SINGIDA
ZIARA YA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA MKOANI SINGIDA
08 Jan, 2026 - 11 Jan, 2026
15:07:00 - 15:07:00
SINGIDA
sheria@gmail.com
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Juma Zuberi Homeri anatarajia kufanya ziara ya kikazi ya siku mbili mkoani Singida, Ziara hiyo itajumuisha uendeshwaji wa Kiniki ya Msaada wa Kisheria, Kutembelea miradi mbalimbali ya Taasisi zilizo chini ya Wizara pamoja na kutembelea maeneo ya vizuizi yaliyoko mkoani humo.