Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini amekutana na kufanya mazungumzo na Watumishi wa Kitengo cha Ununuzi na Ugavi kwa lengo la kufahamiana na Watumishi, kujua majukumu yao, mafanikio na changamoto kwenye utekelezaji wa kazi zao. Mei 09, 2024 Mtumba. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo hicho Bw. David Mwangosi.
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini akiongoza kikao alipokutana na kufanya mazungumzo na Watumishi wa Kitengo cha Ununuzi na Ugavi. Mei 09, 2024 Mtumba.
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini akiongea alipokutana na kufanya mazungumzo na Watumishi wa Kitengo cha Uhasibu kwa lengo la kufahamiana na Watumishi, kujua majukumu yao, mafanikio na changamoto kwenye utekelezaji wa kazi zao. Mei 09, 2024 Mtumba.
Mhasibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria CPA Meshack Mwakyambiki (kushoto) akimsikiliza Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini alipofanya kikao na Watumishi wa Kitengo cha Uhasibu. Mei 09, 2024 Mtumba.
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini akiongoza kikao alipokutana na Watumishi wa Kitengo cha Uhasibu kwa lengo la kufahamiana na Watumishi, kujua majukumu yao, mafanikio na changamoto kwenye utekelezaji wa kazi zao. Mei 09, 2024 Mtumba.
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Jumanne Sagini akipokelewa katika ofisi za Tume ya Kurekebisha Sheria zilizopo katika Majengo ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) mara baada ya kuwasili kwa ajili ya kujitambulisha na kuzungumza na Watumishi wa Taasisi hiyo Mei 8, 2024.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akiongea alipokutana na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu, Mei 07, ofisi za Bunge Dodoma.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akimsikiliza Wakili Onesmo Olengurumwa Mratibu Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu, Mei 07, ofisi za Bunge Dodoma.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akiongoza kikao alipokutana na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu, Mei 07, ofisi za Bunge Dodoma.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana kwenye picha ya pamoja baada ya kufanya kikao na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu, Mei 07, ofisi za Bunge Dodoma.